KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Saturday, January 29, 2011

Tarakimu za hivi karibuni zinaonyesha kushuka kwa mauzo ya nje
Maombi ya kutoka nje ya mahitaji ya bidhaa za viwandani za Ujerumani yamepungua kwa kiasi kikubwa mwezi Desemba ikiwa ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa leo. Wizara ya uchumi na teknolojia imesema kuwa maombi ya bidhaa za viwandani yamepungua kwa asilimia 3.4 kutoka mwezi uliopita. Mchanganuo wa takwimu hizo unaonyesha upunguaji mkubwa katika uagizaji kutoka nje ya eneo la mataifa yanayotumia sarafu ya euro, ambao umeshuka kwa asilimia 8.9.

No comments:

Post a Comment