KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, January 29, 2011

Ripoti ya vichanga Mwananyamala kesho


RIPOTI maalum kuhusiana na sakata la kufukiwa vichanga 10 kwenye shimo inatarajiwa kutolewa kesho .
Ripoti hiyo ambayo imefanyiwa utafiti na tume ya watu watano imekamilisha uchunguzi huo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, alisema kesho ripoti hiyo itatolea bada ya uchunguzi huo kukamilika na pplisi pia inatarajia kutoa taarifa yake keshoasubuhi.

Taarifa ya awali ya polisi imebaini kuwa, baadhi ya wazazi walitoa mimba hospitalini nhapokinyume na sheria.

Hivyo imebainika kuwa baadhi ya madaktari wa Hospitali ya Mwananyamala wanahusika katika vitendo vya utoaji mimba na watoto huhifadhiwa hospitalini hapo, kabla ya kutafutwa mtu wa kwenda kuwazika

No comments:

Post a Comment