KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, January 12, 2011

Ng'ombe Mwenye Vichwa Viwili Azaliwa Georgia


Ng'ombe mwenye vichwa viwili amezaliwa nchini Georgia na kuwa kivutio kikubwa kwa mamia ya watu na vyombo vya habari.
Ng'ombe mwenye vichwa viwili amezaliwa kwenye kijiji cha Abedad nchini Georgia.

Ng'ombe huyo ambaye alizaliwa januari mbili mwaka huu, ana macho manne na masikio matatu.

Ngomb huyo amekuwa maarufu katika kijiji cha Abedad ambapo mamia ya watu na waandishi wa habari wamekuwa wakienda kujionea wenyewe ng'ombe huyo

No comments:

Post a Comment