KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, January 12, 2011

Mwanafunzi mchawi asimamishwa masomo


MWANAFUNZI anayedaiwa kuwa mchawi katika shule ya msingi Liwiti amesimamishwa masomo kutokana na kashfa ya uchawi inayomkabili shuleni hapo.
Hatua hiyo imechukuliwa jana na uongozi wa Shule ya hiyo baada ya mwanafunzi huyo kuhusishwa na kashfa hiyo.

Mwalimu Mkuu wa shule hiyo aliyetambulika kwa jina la Simon Kawa, ameileza nifahamishe kuwa wamechukua uamuzi wa kumsimamisha mwanafunzi Rehema Maneno wa darasa la tano kutaokana na kukabiliwa na ushirikina.

Amesema uongozi umeamua kumsimamisha Rehema kwa muda kwa muda kjutokna na kuwepo kwqa hofu kwa wanafunzi na walimu shuleni hapo baada ya mwanafuzi huyo kukiri kumroga MwalimuJulius Mjwahusu baada ya kumpa kauli za vitisho na mwalimu huyo ni kweli anaendelea kuugua.

Hata hivyo mwalimu huyo amesema wamemsimamisha kwa muda huku wakifanya uchunguzi wa kina kuhusiana na sakata hilo na wanaendelea kuwahoji yeye na bibi yake na uongozi wa shule watampima akili zake kama ziko sawasawa.

Aidha mwalimu huyo alikiri mwanafunzi huyo kukiri kufundishwa mchawi na bibi yake mzaa baba mkazi wa Tabata Kimanga

No comments:

Post a Comment