KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, December 30, 2010

Washauri makato kwa wabunge


SERIKALI imeshauriwa kupunguza malipo ya mishahara na posho za wabunge kwa kuwa watu wameonekewana kukimbilia siasa kwa kutaka maslahi.


Walisema serikali inatakiwa kuondoa tofauti kubwa ya mishahara kwani kuna tofauti kubwa ya mishahara inayolipwa kati ya wafanyakazi wa kawaida, wataalamu na wabunge.


Walisema Wataalamu wanakimbia kazi zao na kukimbilia huko kwani kuna hatari nchi ikapoteza wataalamu kutokana na hilo.,

Walifafanua Takukuru ipo kwa maslahi ya wachache na imesahau kuwa wananchi wa kawaida ndio wanoathirika na rushwa, na taasisi hiyo imechangia kuporomoka kwa maadili ya viongozi

No comments:

Post a Comment