KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, December 30, 2010

Laurent Gbagbo asema haondoki madarakani


Bwana Laurent Gbagbo

Katika hotuba ya mwaka mpya aliyotoa kupitia televisheni, kiongozi wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ambaye anakataa kuachia madaraka, amarejea kuwa hatokabidhi madaraka, huku akiiishtumu jamii ya kimataifa kwa kufanya jaribio la mapinduzi.Gbagbo alitoa wito kwa mpinzani wake Alassane Ouattara, ambaye anatambuliwa kimataiafa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais, akubali mazungumzo.Bwana Laurent Gbagbo


Waziri Mkuu wa Bw Ouattara, Guillaume Soro, naye ametoa wito wa kuchukuliwa kwa haraka hatua ya kimataifa ya kumwondoa Bw Gbagbo madarakani kwa kutumia nguvu, akisema nchi tayari iko katika hali ya vita vya wenyewe kwa wenyewe

No comments:

Post a Comment