KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, December 14, 2010

KILA JAMBO LINA MWANZO NA MWISHO MAISHANIKUSHEHEREKEA MWAKA SIO KUSAHAU MATATIZO YETU MAISHANI, BALI NI KUJIANDA NA KUMALIZA TOFAUTI ZETU MAISHANI. TUNAWATAKIA WAPENZI WOTE WA www.maishani.blogspot.com, www.dinimaishani.blogspot.com, wwwjkmaishani.blogspot.com, www.lovemaishani.blogspot.com na www.fitnessmaishani.blogspot.com

WOTE TUNAWASHUKURU KWA MCHANGO WENU. MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUTUONDOLEA KILA JAMBO LA SHARI NA KUTUONGEZEA KILA LA GHERI MAISHANI.

UJUMBE: TUPENDE SANA KUANGALIA MAZURI ZAIDI YA MABAYA MAISHANI KWASABABU HAKUNA ALIETIMIA MAISHANI ISIPOKUWA MUNGU PEKE YAKE. HUWEZI KUSEMA KWAMBA UMEEPUKA AJALI MAISHANI KABLA HUJAFA. KUMBUKA HUJAFA HUJAUMBIKA. NA LEO KWANGU KESHO KWAKO. NA MWENZIO AKINYOLEWA NAWE TIA MAJI.

TUMETOKA KWA ALQAEDA TUMEPEWA MUONO MWINGINE NAO NI WEAKLEAK?

KUNA SIRI GANI HAPO?

AU VITA YA UGAIDI IMEISHA TUMEINGIA KATIKA HAZINA YA UMBEA MAISHANI?

JAMBO MUHIMU NI KUFICHUWA LIJALO SIO LIMALIZIKALO, KWASABABU MWENYE NJAA NI YULE AMBAE HAJALA MAISHANI.

WANYONGE NDIO WAUMIAO. TUMUOGOPE MUNGU WA KWELI.

KARIBUNI SANA 2011. WAISLAMU WAO WAKO KATIKA MWAKA WA 1432 MWEZI WA KWANZA, LAKINI WOTE DUNIA INATUHUSU MAISHANI. MUNGU WABARIKI WAJA WAKO, EWE MUNGU IBARIKI SUDANI, DRC, SOMALIA, AFGHANISTAN, IRAQ, PALESTINA, LEBANON, UTURUKI, NIGERI, RWANDA, BURUNDI, IVORY COST, ZIMBABWE, KENYA, UGANDA, PAKISTAN............, MUNGU IBARIKI TANZANIA. AMEEN

No comments:

Post a Comment