KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, December 28, 2010

46 mbaroni kwa kuishi ibla kibali


JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inawashilia raia 46 wa Somalia, kwa kutambulika kuishi nchini bila ya kuwa na vibali.
Kamanda Suleiman Kova, alisema kuwa, watuhumiwa hao walikamatwa katika maeneo ya Temeke, Ilala na Kinondoni katika maeneo tofauti.

Watuhumiwa hao ni pamoja na Adam Ibrahim [27] Hussein Mgeni (34), Mohamed Abdi (23), Said Ally (23) na Jamali Mohamed (37).

Wengine ni pamoja na Faiza Ally (22), Nassoro Ahmed (34), Said Mrisho (33), Omary Abdi (32), Mohamed Ally (62), Abdallah Ismail (21), Kafil Kenan (20), Shahzad Tariq (22), Abdulal Shabaan (21, Abdu Adan (34), Range Ally (24) na wenngine 30 majina yao bado hayapatikana

No comments:

Post a Comment