KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, November 19, 2010

Wengi wamfurahia MagufuliWAKAZI wengi wa jijini Dar es Salaam wameonekana kufurahishwa na Rais Kikwete kumteua John Magufuri kuwa katika Wizara ya ujenzi kwa kusema nafasi hiyo inamfaa sana kutokana na utendaji ake kazi mzuri waziri huyo.


Wakazi hao ambao wengi walifurahia uteuzi na kumpongeza Rais kwa kumrudisha mchapakazi huyo katika wizara ambayo wakazi hao wanadai imeshindikanda na hakukuwa na muongozaji mzuri ndani ya wizara hiyo.

Walisema uteuzi a Magufuli ni mzuri kutokana na kuwa na usongo na ujenzi wa barabara ambazo hazina viwango na kuwa na migogoro na kero za muda mrefu hivyo "Magufuli anatufaa" walisema

Pia walichofurahishwa zaidi kuwa Wizara ya Ardhi kuteulia mwanamama Anna Tibaijuka na kudai kuwaweka hao katika wizara zinazoshabihiana muheshimiwa Rais amelenga uteuzi huo.

WAziri Magufuli ameonekana kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi walio wengi kutokana na utendaji wake wa kazi mzuri na uchapa kazi alio nao katika wizara zoter anazopangiwa.

awali Magufuli alikuwa Ardhi na aliweza kurekebisha wizara hiyo na baadae aluibadilihwa na kuwa katitika mifugo huko nako alifanya kazi vizuri sana na kukbalika wananchi wengi kwa ujumla

No comments:

Post a Comment