KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 3, 2010

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, amepoteza kiti chake cha ubungeWAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, amepoteza kiti chake cha ubunge baada ya kuanguka katika matokeo ya ubunge yaliyotangazwa jana na tume ya Uchaguzi nna kupoteza jimbo lake la Nyamagana.
Waziri Masha alianguka baada ya mpinzani wake kupitia chadema Ezekiel Wenje kunyakua kiti hicho kwa kumbwaga kwa tofauti ya kura 10,288.

Wenje aliweza kupata kura zipatazo 38,171 licha ya kuchelewa kwa kampeni zake aktika jimbo hilo baada ya kuwekewa pingamizi na waziri huyo

No comments:

Post a Comment