KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 3, 2010

Mnyika, Mdee watingisha jiji
MARA baada ya ktuangazwa kuwa washindi katika majimbo waliyokuwa wakigombania na wapinzani wao wa chamda acha Mapinduzi na wao kuibuka kidedea dhidi ya ushindi huo, wafuasi na wapenzi wa wagombea hao walizua shangwe, vifijo na uimbaji wa nyimbo kush
WAbunge hao wateule kwa tiketi ya Chadema ni John Mnyika Mnyika aliyeshinda wka kishindo katika jimbo la Ubungo na yule wa jimbo la Kawe, Halima Mdee mwanasiasa machachari anayechipukia nchini.

Wapenzi hao walipokea kwa furaha isiyo na kifani matokeo hayo na kuwabeba wagombea hao dhdi ya furaha waliyo nayo moyoni mwao.

Shangwe za wafuasi haop zilianzisa katikia shule ya sekondari Loyora na ku tangazwa John Mnyika kuwa mshindi wa jimbo hilo ambalo lilikuwa aktika upinzani wa hali ya juu kwuania kiti hicho.

John mnyika alishinda kiti hicho kwa tiketi ya Chadema na kumbwaga mshindani wake, bi Hawa Mumbi wa CCM.

Wafuasi hao walimchukua mbunge wao huyo na kwenda Kawe kuungana na ushidni dhidi ya Halima [Chadema]

Mdee ambaye hakuamini matokeo hayo na kuuliza mara mbilimbili alishindwa kuzuia furaha yake na kuangua kilio cha furaha

No comments:

Post a Comment