KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, November 3, 2010

Tume ya uchaguzi nchini Senegal imetangaza vituo maalum vya kupigia kura vitajengwa


Senegal
Tume ya uchaguzi nchini Senegal imetangaza vituo maalum vya kupigia kura vitajengwa, ili kuwapa nafasi raia wa nchi hiyo waliohama makwao kutokana na ghasia za hivi majuzi kushiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa Urais siku ya Jumapili.


Mwenyekiti wa tume hiyo Siaka Sangare Toumany, amesema raia wote waliohama makwao wataruhusiwa kupiga kura, mradi majina yao yamo kwenye orodha ya daftari la usajili wa wapiga kura.

Mwezi uliopita, maelfu ya watu walihama makwao baada ya wafuasi wa wagombeaji wawili wa kiti cha Urais Cellou Dalein Diallo na Alpha Conde, kuchuana vikali

No comments:

Post a Comment