KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, November 19, 2010

Salamu za EID MUBARAK Toka maishani.blogspot.com


Ni wakati mwingine tena wa kufurahi na kujumuika na ndugu na jamaa kula na kunywa pamoja kusherehekea siku hii tukufu. Sala zetu , dua zetu na salamu zetu za eid kwenu wadau na familia zenu, Tunawatakia furaha tele katika siku hii tukufu ya EID.
maishani.blogspot.com inawatakia furaha tele katika siku hii EID. Tunapenda kuwapa mkono wa EID MUBARAK wadau wote wa maishani.blogspot.com.

maishani.blogspot.com inawatakia wadau wote kokote mlipo duniani Eid Njema na mafanikio tele kutokana na baraka za siku hii tukufu

No comments:

Post a Comment