KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, November 19, 2010

Mizengo Pinda Apitishwa Kuwa Waziri Mkuu


Bunge la Jamhuri ya Muungano limeidhinisha uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumteua mbunge wa Katavi, Mizengo Pinda kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Mh. Mizengo Pinda alipitishwa na Bunge la Muungano kwa kupata kura za ndio 277 sawa na asilimia 84.5.

Jumla ya kura 328 zilipigwa Bungeni ambapo kura za HAPANA zilikuwa 49 na kura zilizoharibika zilikuwa mbili

No comments:

Post a Comment