KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Thursday, November 11, 2010

Makinda aapa kutotetea mafisadi


SPIKA wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Anne Semamba Makinda amesema atailinda, atatetea katiba na sheria za bunge na kuliongoza bunge hilo ipasavyo.


Mbali na hilo, Makinda aliwataka wabunge wa bunge hilo kushirikina kwa pamoja kwa kuwa chombo hicho ndicho chenye dhamana ya kutunga sheria nchini.

Aliwataka wabunge hao kutoa ama kuchangia hoja kwenye upitaishwa wa sheria ama miswada mabali mbali ili kusiwe na malalamiko ya aina yoyote kutoka ndani ya bunge hilo

No comments:

Post a Comment