KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 10, 2010

Kesi ya Chenge yaahirishwa, hakuwepo MahakamaniKESI inayomkabili Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, yapigwa kalenda na mshitakwia huyo kutoonekana mahakamani.


Kesi hiyo itarudi tena mahakamani hapo Novemba 19, mwaka huu, kwa ajili ya kupangwa tarehe ya hukumu.

Chenge anakabiliwa na mashitaka ya kusababisha vifo vya wasichana wawili ambao ni Victoria George na Betrice Costantino.

Kosa la pili, kuendesha gari bila ya kuwa na bima na kuendesha gari kizembe na kupelekea kuharibu pikipiki ya miguu mitatu aina ya Bajaj yenye namba za usajili T 736 AXC

No comments:

Post a Comment