KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Monday, November 1, 2010

Chadema wachukua jimbo la Musoma MjiniMATOKEO yaliyothibitishwa na Tume ya Uchaguzi muda mchache uliopita, umetangaza kwua jimbo la uhsindani la Musoma Mjini limechukua chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema].
Mgombea kupitia chama hicho, Vincent Nyerere anaongoza kwa kura 21,335 sawa na asilimia 59.7 ya kura zote zilizopigwa.

Hivyo mgombea huyo amembwaga mgombea wa CCM Vedasto Mathayo ambaye amepata ushidi wa pili katika kinyang’anyiro hicho huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na CUF


Moshi Mjini pia waongoza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Moshi Mjini kinaongoza katika matokeo ya awali ya Rais, Wabunge na Madiwani

Chama hicho kimeonekana kupata ushindi wa kishindo katika matokeo ya awali yaliyotolewa katika baadhi ya vituo vya jimbo hilo

No comments:

Post a Comment