KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, October 13, 2010

Nyerere Day kuazimishwa keshoKESHO ni siku maalum ya kuadhimisha kumbukumbu ya mika 11 tokakea kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

MWalimu Nyerere alifariki Oktoba 14, 1999 na kesho ni miaka 11 toka kufariki kwake.

Taasisi mbalimbali kesho wanaazimisha na kuenzi mambo aliyokuwa akiyafanya enzi ya uhai wake.

MBali na taasisi hizo wanazuoni, wanasiasa na wanaharakati wanaitumia siku hiyo kuazimisha kutafakari fikra za za Mwalimu Julius Nyerere katika kongamano maalum litakalofanyika katika ukumbi wa Nyerere Theatre One, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment