KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, October 5, 2010

Jambazi la kike latakiwa kujisalimisha polisiJESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamtaka jambazi l Witness Lukopela ajisalimishe mwenyewe polisi.
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleimani Kova, alitoa taarifa hiyo jana na kusema Witness anasakwa na jeshi hilo na kusema na kutakiwa kujisalimisha mwenyewe polisi kutokana na kushirikiana na wezi wapatao 15 walioiba mabati 342 katika kiwanda cha Alafu mali yenye thamani shilingi milioni. 63.

Kova alisema mwanamke huyo anahitajika ajisalimishe polisi kutokana na taarifa zake kutolewa polisi na majambazi weanaoshikiliwa na kukiri kushirikiana na mwanamke huyo katika uhalifu huo

No comments:

Post a Comment