KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Tuesday, October 5, 2010

Dk. Slaa Alivyowasha Moto IringaMgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa aliiteka Iringa wakati wa kampeni zake za uchaguzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mwembetogwa.
Umati wa wananchi wa mji wa Iringa na vitongoji vyake walijitokeza katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembetogwa mjini humo

No comments:

Post a Comment