KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, October 9, 2010

Jalada ya Rugazia latupwa kwa DPP



KUTOKANA na wadhifa aliokuwa nao mtuhumiwa wa kesi ya usalama barabarani ya kukabiliwa na shtaka la kuua inayomkabili Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania, Protest Rugazia [56] jalaada linalohusiana na shtaka hilo limepelekwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Masht
Hatua hiyo imechukuliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es alaam ili kuzingatia taratibu mbalimbali na sheria na uandaaji wa kuongoza shauri hilo.

Kamanda wa Kova, aliwaeleza wanahabari kuwa, jeshi hilo lilishafatilia mwenendod wa ajali hiyo na tarawtibu za kiupelelzi zimeshakamilisha na kutokana na mshitakwia katika shauri hilo kuwa na wadhiwa inatakiwa tuongozwe taratibu za mashitaka na DPP.

Katika kesi hiyo, Jaji Rugazia anakabiliwa na shitaka la kusababisha kifo cha mtembea kwa miguu, aliyetambulika kwa jina la Salehe Omary, mkazi wa Msasani, Dar es Salaam katika barabara ya Bagamoyo, Oktoba 3 mwaka huu.

Na aliweza kujeruhi watu wengine watatu waliotambulika kama Nasibu Hassan[28] mkazi wa Kitunda, Rahma mwanafunzi wa chuo cha IFM na Issa Idd [30] mkazi wa Kinondoni

No comments:

Post a Comment