KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, September 20, 2010

Somalia: serikali kukabiliana na waasi


Waziri Mkuu Sharmake

Serikali ya mpito nchini Somalia imesema itaanzisha mapigano ya pili dhidi ya makundi ya wasi wa kiislam kabla ya mwisho wa mwaka huu.

Waziri mkuu Omar Abdirashid Sharmake amesema kuwa askari waliopata mafunzo nchini Ethiopia na Kenya watapelekwa kusini mwa Somalia kujaribu kuiteka miji muhimu ya jimbo hilo , ikiwemo bandari ya kismayo.

Serikali ya Somalia inaungwa mkono na maelfu ya askari wa Muungano wa Afrika , lakini inadhibiti tu sehemu ya mji mkuu wa Somalia Mogadishu

No comments:

Post a Comment