KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, September 17, 2010

Ozon kuazimishwa Mwanza leoLEO ni siku kuaadhimisha siku ya kimataifa ya hifadhi ya tabaka la Ozoni
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel, alisema jana mbele ya waandishi kuwa, maadhimisho hayo yatafanyika kitaifa mkoani Mwanza.

Mollel alisema lengo la maadhjimisho hayo kaitaifa ni kuelimisha umma juu ya umuhimu watabaka ya hewa ya ozone na namna ya kuhifadhi hewa hiyo.

Alisema katika maadhimisho hayo, kutafanyika uzinduzi wa kituo cha kunasa na kusafisha gesi chakavu za majokofu na viyoyozi ikiwemo na kutoa elimu kwa mafundi wa majokofu na viyoyozi kuwapa elimu bora ya utoaji huduma wa vifaa hivyo.

Pia aliwaonywa wananchi kuepuka na kutumia uingizaji holela wa gesi ambazo zimepigwa marufuku kwa matumizi sahihi kwani hewa hizoi huharibu mazingira na kuleta maradhi

No comments:

Post a Comment