KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Monday, September 13, 2010

Mwanasiasa wa Ujerumani aonya kuhusu uchaguzi wa bunge Afghanistan
BERLIN

Mjumbe maalum wa Ujerumani anayehusika na Afghanistan na Pakistan, Michael Steiner, ameonya dhidi ya kuwa na matarajio makubwa sana kutokana na uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kufanyika nchini Afghanistan Juamamosi ijayo. Bwana Steiner ameliambia shirika la habari la Ujerumani, DPA, kwamba uchaguzi huo bila shaka hautatizima vigezo vya Ulaya na kwamba hali ya usalama nchini Afghanistan itaathiri matokeo ya uchaguzi huo. Uchaguzi wa rais wa Afghanistan uliofanyika mwaka jana ulikumbwa na madai ya visa vingi vya udanganyifu

No comments:

Post a Comment