KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, September 17, 2010

Atoweka nyumbani mara baada ya kumaliza mitihaniBINTI mmoja wa miaka 15, mkazi wa Charambe nje kidogo ya jiji lka Dar es Salaam, ametoweka nyumbani kwao na hajulikani alipo mara baada ya kuhitimu elimu yake ya msingi juma lililopita.
Binti huyo ambaye ametoweka nyumbani kwao ghafla na hajulikani alipo kwa sasa inapelekea mzazi wa kike kuwa ktika wakati mgumu katika ndoa yake.

Mama wa binti huyo aliieleza nifahamishe kuwa, binti yake huyo ametoweka nyumbani hapo na hafahamu alipo kwa sasa inampelekea mume wake asimuelewa na kumtaka binti huyo aonekana la sivyo nyumba hiyo ataiona mbaya.

“Sasa huyu mtoto mimi sielewi ameenda wapi? Lakini kinachoshangaza baba yake ananiamuru mimi ndio niwajibike na kunitupia lawama mimi, mimi hata sielewi”

Hata hivyo mama huyo alidai alikuwa anakwenda Kibaha kwa kaka zake waishio huko na kwenda kujadili suala hilo, kwa kuwa kila akitafuta mawasiliano na binti huyo simu yake ilikuwa haipatikani.

Habari zaidi juu ya tukio hilimlitwajia

No comments:

Post a Comment