KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, August 3, 2010

Obama kuondoa wanajeshi Iraq


Obama kuondoa wanajeshi Iraq
Miaka saba baada ya uvamizi wa Marekani nchini Iraq, rais wa Barack Obama amethibitisha kuwa vikosi vyote vya marekani vitaondoka nchini humo mwishoni mwa mwezi huu.
Kwa mujibu wa rais Obama, hatua hii itatimiza ahadi yake aliyoitoa baada ya kuingia mamlakani.

Hata hivyo wanajeshi elfu hamsini watasalia iraq kutoa mafunzo kwa vikosi nchini humo na kuwaelimisha kuhusu nyenzo za kupambana na ugaidi.
Mwandishi wa BBC ameelezea kuwa baadhi ya wananchi wanahofia huenda mashambulizi yanayofanywa na makundi ya wapigajani yakaongezeka iwapo wanajeshi wa Marekani wataondoka.











Lakini wengi wana wasiwasi zaidi kuhusu ukosefu wa kuuunda serikali miezi mitano baada ya uchaguzi kufanyika.

No comments:

Post a Comment