KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Tuesday, August 24, 2010

KIJANa Joseph Mwakapinga [27] aliyeshirikana na marehemu katika kuhakikisha paka hao wanaondoka


KIJANa Joseph Mwakapinga [27] aliyeshirikana na marehemu katika kuhakikisha paka hao wanaondoka mahala hapo inadaiwa ameanza kusikia dalili za kuumwa na kupelekea hofu izidi kutanda kwa wakazi hao waliohusika sakata la kuwakimbiza paka hao
Imedaiwa kuwa kijana huyo nae ameanza kusikia dalili za kuumwa na kupelekea kujawa na hofu ya kupoteza maisha kutokana na kitendo chao cha kuwapiga paka hao kwa kutumia silaha.

Imedaiwa kuwa kijana huyo ambaye alikuwa shabiki namba mbili ya kuwakimbiza paka hao, ambapo wengine walionekana kushindwa katika zoezi la kuwaondoa paka hao na wao ndio walikuwa vinara hadi kuhakikisha paka hao waliondoka mahala hapo.

“Jamani tunaomba Mungu atusitiri Joseph wa nyumba ya pili nae anaanza kusikia anaumwa, sijui anahofia mwenzie kuondoka ghalfa hatujaelewa hadi leo [jana]” waliongea jirani hao kwa hofu

No comments:

Post a Comment