KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Tuesday, August 24, 2010

Joseph akimbiziwa kwa mganga wa kienyeji


KIJANa Joseph jana alikimbiziwa kwa mganga wa kienyeji ili akapewe matibabu huko kwa kuwa ndugu hao walizidi kupata hofu kutokana na hali yake.
Chanzo cha habari kilidai kuwa Joseph aliamrisha ndugu zake hao wampeleke kwa mganga huyo huenda atapata dawa za kumponya.

Hivyo imedaiwa mganga huyo aliwataka ndugu hao kumuahca ndugu yao huyo mahala hapo kwa muda wa siku tatu kwa kuwa mganga huyo alidai matibabu yake yanachukua muda huo na hatakiwi arudi nyumbani hapo ndani ya siku hizo.

Hivyo imedaiwa ndugu hao waliafiki kumuacha ndugu yao huyo kwa ajili ya matibabu hayo na anaendelea na matibabu huko.

Hata hivyo imedaiwa na chanzo hicho asubuhi ya leo kuwa, hali yake kidogo imetengemaa tofauti na walivyomfikisha jana

No comments:

Post a Comment