KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, July 30, 2010

Mbunge Apewa Kichapo cha Nguvu na Wenzake


Mwanasiasa mmoja wa nchini India alipewa kichapo cha nguvu na wanasiasa wenzake ambao walikasirishwa na mawazo yake aliyoyatoa.
alishushiwa kipigo cha nguvu na wapinzani wake ndani ya chama chake mwenyewe ambao hawakufurahishwa na mawazo yake.

Kunjir alidondoshwa chini na kutandikwa ngumi pamoja na kushushiwa mvua ya viti kwenye kichwa chake.

Kunjir alinusurika maisha yake lakini alibaki na majeraha makubwa kichwani. Hata hivyo bado hajatoa malalamiko yoyote polisi.

Angalia video ya tukio hilo chini.

No comments:

Post a Comment