KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, July 22, 2010

Mbaroni kwa mihadarati


WATU 10 wanashikilwa na polisi kwakukamatwa na kete zipatazo 127 za bangi
Kamanda Kalinga amesema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa jana, majira ya saa 11 jioni katika maeneo ya Jangwani.

Amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mohamed Khalifani (20), Rashidi Hussein (22), Ramadhani Jongo (22), Jaribu Khatibu (19), Fadhili Waziri (19) na wenzao sita.

Wote wka pamoja wanaendelea kuyshiliwa na hatua zinafatwaili wafikishwe mahakamani kwa uvunjaji wa sheria

No comments:

Post a Comment