KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, January 20, 2010

Shirika la Human Rights Watch limesema kuwa takriban watu mia mbili wameuawa katika jimbo la Jos katika mapigano ya siku tatu


Shirika la Human Rights Watch limesema kuwa takriban watu mia mbili wameuawa katika jimbo la Jos katika mapigano ya siku tatu kati ya makundi ya vijana wa kiislamu na wenzao wa kikristo.

Wanajeshi zaidi wamewasili mjini humo kushika doria katika barabara za mji. Kwa sasa wameweka marufuku ya kutembea nje.

200 wauawa Nigeria, HRW
Mapigano hayo yaliyoanza jumapili, yamesababisha watu wengi kutoroka makwao wakihofia mashambulio. Nyumba kadhaa, misikiti na makanisa pia zimechomwa.

No comments:

Post a Comment