KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 4, 2009

Sierra Leone yaunganisha tiba na India


Sierra Leone yaunganisha tiba na India

Rais wa Sierra Leone amezindua kiunganishi kwa njia ya satelaiti ambapo madaktari wa nchi yake wanaweza kupata ushauri kwa wenzao nchini India.
Mfumo huo, utawaruhusu madaktari Sierra Leone kutuma picha za X-ray na taarifa nyingine kwa ajili ya kufanyiwa tathmini katika hospitali za India zenye vifaa bora zaidi.

Wataweza pia kupata ushauri kutoka India.

Mfumo wa afya Sierra Leone uliathirika sana wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 11 vilivyomalizika mwaka 2002.

Madakatari wengi waliikimbia nchi yao wakati wa macahafuko hayo.


No comments:

Post a Comment