KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 4, 2009

Mann aliyesamehewa aelezea majuto


Mann aliyesamehewa aelezea majuto

Mwanajeshi wa zamani wa Uingereza Simon Mann ameelezea kujuta kwake kwa kushiriki katika jnama iliyotubika na kutaka kupindua kiongozi wa Equatorial Guinea.
Mann mwenye umri wa miaka hamsini na saba, anatarajkiwa kurejea uingereza baada ya kuachiliwa siku ya jumanne.Alihukumiwa kifungo cha miaka 34 years, lakini akasamehewa pamoja na washukiwa wengine wanne raia wa Afrika kusini.

Bwana Mann alisema anajuta kwa kilichotokea mwaka 2004 akisema kuwa ilikuwa makosa makubwa na kuwa bora njama hiyo haikufanikiwa.

No comments:

Post a Comment