KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Wednesday, November 4, 2009

Wanajeshi 5 wa Uingereza wauawa


Wanajeshi 5 wa Uingereza wauawa

Wanajeshi watano wa uingereza wameuawa katika mkoa wa Helmand,kwenye shambulio ambalo jeshi la uingereza limelaumu askari wa Afghanistan ''aliyepagawa''.


Wanajeshi hao,wamekuwa wakimpa mafunzo na kuishi pamoja na askari huyo kwenye eneo moja.

Afisa huyo alifyatua risasi,na kujeruhi vikosi vyengine,kabla ya kutoroka.Jumla ya wanajeshi 92 wa uingereza wameuawa mwaka huu,idadi kubwa zaidi tangu vita ya Falklands mwaka 1982.

Uchunguzi kuhusu shambulio hilo katika wilaya ya Nad Ali unaendelea.

No comments:

Post a Comment