KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Tuesday, October 27, 2009

Mwanasiasa mkuu afungwa jela Nigeria


Mwanasiasa mkuu afungwa jela Nigeria

Mwanasiasa mkuu kutoka chama tawala cha kisiasa nchini Nigeria, Olabode George amehukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu gerezani kwa kufuja dola nusu milioni za halmashauri ya bandari nchini.
Bwana Olabode ambaye pia alikuwa mshauri mkuu wa rais wa zamani Olusegun Obasanjo, alikuwa mmojwapo wa wale wanasiasa waliokuwa na nguvu kiasi cha hata kutoweza kufikishwa mahakamani.

Hata hivyo mawakili wake wamefahamisha BBC kuwa atakata rufaa dhidi ya uamuzi huo.

Uamuzi huu wa kufungwa bwana Olabode na wenzake watano, umewaachwa wanigeria wakihoji ikiwa kweli anaweza kufungwa.

Olabode alikuwa mwenyekiti wa chama cha People's Democratic Party - alipatikana na hatia ya mashtaka 35 yote yanayohusiana na ufujaji wa pesa za ummja na matumizi mabaya ya mamlaka.


AN Ikeja, Lagos State High Court has summoned the national chairman of the Peoples Democratic Party (PDP), Senator Ahmadu Ali , the party’s Deputy National Chairman (South), Chief Olabode George and four others to appear before it today for contempt of court.

Also, a faction of the party in Lagos State has instituted a legal action restraining the new executive members of the party from parading themselves as officials of the party .

The summon, dated March 4, 2008, was based on the a case filed by one Engineer Oladele Oni and others, in which Senator Ali ,Chief George and four others were accused of disobeying a court order and failure to appear before the court.

The summon reads thus: “This honourable court will be moved on Friday March 7, 2008 at 9 O’clock in the morning or so soon thereafter as counsel may be heard on behalf of the claimant\applicant praying this honourable court for an order for the committal to prison of the respondents listed below for having disobeyed the orders of this honourable court made on the November 2 and 8, 2007.”

No comments:

Post a Comment