KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, October 30, 2009

MAMBO VIPI MAISHANI?


A.W.W.

MIMI NAITWA M (KUSHOTO) NI KIWA NA RAFIKIA YANGU C (KULIA TUNAPENDA KUTOA UJUMBE HUU, KWA WAPENZI WOTE WA MAISHANI CLUJUMBE NI :
SISI KAMA M & C, TUNAPENDA KUISHI KATIKA MAZINGIRA MAZURI NA YENYE FURAHA.
MARANYINGI MAISHANI, KUNA MIZUNGUUKO KIBAO, LAKINI KATIKA MIZUNGUNGUUKO YA MAISHA, MARAFIKI WANAJIKUTA WAKICHATI NA MARANYINGINE, WAKITUMIA MUDA WAO KATIKA HARAKATI YA KUTUMIA MUDA WAO KWA KUCHANGIA MAZUNGUMZO NA KUALIKANA KWA LENGO LAKULA CHAKULA CHA PAMOJA.

CHAKULA CHA PAMOJA, HUWA NA MVUTO BAINA YA (NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI), NI KIZURI SANA KWA UPANDE WETU. SISI KAMA WADAU WA MAISHANI CLUB, TUNAAMINI KWAMBA MAISHANI MWETU, HATUWEZI KUISHI BILA USHIRIKIANO WA MANENO NA MATENDO.

KATIKA USHIRIKIANO WA MANENO, TULIWEZA KUZUNGUMZA MENGI, LAKINI HATUISHI HAPO, BALI TUNAHITAJI MUDA WA KUTUMIA PESA, NGUVU YA MWILI NA AKILI KWA KUANDA MAZINGIRA YA CHAKULA CHA PAMOJA.


KWA KWELI CHAKULA CHA PAMOJA KINAKUWA KITAMU NA CHENYE LADHA YA MANENO NA MADENDO MAPYA NA YENYE FURAHA.
MIMI M NA C, TUNAPENDA SANA CHAKULA CHA PAMOJA, NA NDIO MAANA KUKAA CHINI NA KUPATA CHAKULA CHENYE MFUMO WA KISHUSHIO CHA CHAI, NI BORA ZAIDI MAISHANI MWETU.

WATU WENGI WANAAMINI KWAMBA CHAKULA CHA MTOKO KWENYE MAHOTELI, KINA MVUTO ZAID I YA CHAKULA CHENYE MSINGI WA MAANDALIZI YA HOME !


SISI KWA UPANDE WETU, TUNAONA KWAMBA CHAKULA CHENYE MCHANGANYIKO WA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KINA MVUTO WAKE. MVUTO HUO, HUTOKANA NA KUKUTANA NA WATU WENGI NA MARANYINGINE, UTAKUTANA NA WATU AMBAO UNASIKU NYINGI HUJAWAONA AU ULIKUWA UKIWASIKIA, LAKINI KATIKA SHUGHULI UNAKUTANA NA WATU WENGI NA KUPATA MAMBO MENGI MAPYA NA KUJIFUNZA AU KUFAIDIKA NA MENGI KUPITIA CHAKULA CHA PAMOJA.

SISI KAMA WADAU WA MAISHANI CLUB, TUNAPENDA SANA MSIMAMO WA MAISHA YENYE MFUMO WA UPENDO, HURUMA NA UVUMILIVU.
KARIBUNI SANA KATIKA CLUB YETU YA MAISHANI, MTAJIFUNZA MENGI NASI TUTAFURAHI KWA KUPATA MARAFIKI WAPYA.

No comments:

Post a Comment