KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Friday, October 30, 2009

MAMBO VIPI TANZANIA NA ZAIN





KWAJINA NAITWA ZAIN AU MTAMBO WA MAWASILIANO. NATUMIKA KATIKA MFUMO WA MAWASILIANO YA MDOMO NA KIDOLE GUMBA. NJIA YA VIDOLE NI YENYE MFUMO WA KUCHEZEA NAMBA NA HERUFI. NJIA HII YA MAWASILIANO YA KIDOLE GUMBA (SMS)NIYENYE MSINGI WA UJUMBE WA MAANDISHI. KAMA TUNAVYOELEWA, MAWASILIANO YA VIDOLE YANACHUKUWA MDA KUANDIKA NA KUSOMA. TOFAUTI NA MAWASILIANO YA MDOMO AU KUONGEA (CALL).
MIMI KAMA MTAMBO WA MAWASILIANO, NAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE NA AFRIKA YA MASHARIKI AU AFRIKA NZIMA NA DUNIA NZIMA, KWAMBA NNA UWEZO WA KUWAWEZESHA KUZUNGUMZA KWA MDOMO NA VIDOLE VIKIONGOZWA NA MR. GUMBA, BILA KUJALI WAKATI(USIKU AU MCHANA). KWA MAANA NYINGINE, NINA (ZAIN)UWEZO WAKUUNGANISHA WATU AU NYOYO ZA WATU, KUPITIA NJIA YA MAWASILIANO YA VIDOLE YA KIONGOZWA NA KIDOLE GUMBA.


MIMI KAMA ZAIN AU BWANA WA MAWASILIANO, NNAAMINI KWAMBA YEYOTE ATAKAENUNUA MUDA WANGU WA MAWASILIANO, HAWEZI KUKOSA HUDUMA YANGU, LABDA YEYE MWENYEWE AWE NA UBOVU WA JENGO(SIMU) LA MAWASILIANO. UBOVU WA JENGO (SIMU) LA MAWASILIANO UNATOKANA NA UKOSEFU WA MLANGO WA MAWASILIANO, AMBO NI BETIRI (BATTERY) MBOVU AU YENYE UKOSEFU WA CHAJA (CHAGER). KWA UPANDE WANGU (ZAIN) NAENDESHWA NA MITAMBO YENYE MAFUNDI WA KIMATAIFA NA MINARA YENYE KUVUTA NA KUSUKUMA MAWASILIANO YA KILA MWANACHAMA WA ZAIN (BWANA MAWASILIANO), KWA UHAKIKA BILA HATA KUCHELEWESHA AU KUCHELEWA KUFIKA.

ISIPOKUWA MWANA CHAMA WA ZAIN, MARANYINGI NDIE MWENYE KUTUANGUSHA KWA KUCHELEWA KUPOKEA SIMU YAKE.

UMUHIMU WA ZAIN
ZAIN NI MUHIMU KATIKA MAISHA YA KILA BINAADAMU, MWENYE KUHITAJI UHAKIKA WA MAWASILIANO MAISHANI MWAKE. SISI KAMA ZAIN TUNAAMINI KWAMBA, KILA MWANACHAMA MWENYE TATIZO LA KIAFIA, URAFIKI, MCHUMBA, FAMILIA, NDUGU JAMAA NA MARAFI……….NIRAHISI KULITATUWA KWA KUPITIA HUDUMA YETU YA MAWASILIANO YA VIDOLE VIKIONGOZWA NA KIDOLE GUMBA, BILA KUSAHAU MAWASILIANO YA MDOMO, KUPITIA MSAADA WA MKONO ULIOBEBA SIMU AU JENGO LA MAWASILIANO.

FAIDA YA ZAIN
ZAIN INAFAIDA KUBWA KWA WANACHAMA WAKE. KILA MWANACHAMA WA ZAIN ANAJIVUNIA KUWA AU KUISHI KATIKA JENGO LENYE HERUFI AU NGUZO NNE (Z+A+I+N = ZAIN), ZENYE KUTAMBULIKA AU KUJULIKANA NDANI NA NJE YA AFRIKA..

VILEVILE NI JAMBO LA KILA MTEJA KUJIVUNIA KUISHI KATIKA JENGO LENYE UNADHIFU WA MAZINGIRA YA KISASA. MWANACHAMA MWENYE VISA (LINE) YA ZAIN, HUWA NI MWENYE KUHESHIMIKA KATIKA JAMII YA MAWASILIANO.

HUDUMA ZA ZAIN
ZAIN KWA UPANDE WA NGU KAMA MWANACHAMA WA ZAIN, NAAMINI KWAMBA HUDUMA YA MAWASILIANO YA ZAIN NI NZURI NA NIRAHISI KUPATIKANA AU KUPATA MSAADA KATIKA MFUMO WA DHARURA NA HUDUMA MPYA ZENYE KUENDANA NA UHUSIANO WA MFUMO WA MAWASILIANO MAISHANI.
KWA UHAKIKA WA MAMBO HAYO NINAYOYAZUNGUMZA, USHAHIDI WAKE UKO JUU YA WATU WANAOISHI KATIKA ENEO LA RUFIJI AU SELOUS, HAKUNA MUOKOZI WA MAWASILIANO YA MDOMO (CALL) NA VIDOLE VIKIONGOZWA NA KIDOLE GUMBA, KWA WANA KIJIJI WA SELOUS, ISIPOKUWA NI ZAIN. NA NDIO MAANA WAKAZI WENGI WA RUFIJI WANAENDELEA KUINGIA NDANI YA JENGO LA MAWASILIANO YA ZAIN KWA KASI.

WOTE NI WANACHAMA WA JENGO LA ZAIN. NA WANAPENDA NA KUFURAHIKA NA HUDUMA YA ZAIN.
MVUTO ZAIDI WA HUDUMA YA ZAIN
ZAIN KAMA KAWAIDA INA NIFURAHISHA ,LAKINI KWA SASA FURAHA YANGU WAMEIZIDISHA MARA DUFU.


KWA MFANO WA HUDUMA YA ZAP
ZAP NI MFUMO WA MWANGA MAISHANI. ZAIN ILIPOFIKIA HATUWA YA KUWAFANYA WATU WOTE WAWE NA UWEZO WA KUWASILIANA KIAKILI NA KIVIUNGO.
ZAIN ILIAMUA KUWAFANYA WATEJA WAKE WAJIHISI KUWA KATIKA MAZINGIRA YA ULINZI WA MWANGA. KWA KAWAIDA, KIZA AU GIZA NI MFUMO WENYE KUTISHA NA NI MBAYA KABISA. KIZA KINASABABISHA GHARAMA KUBWA YA FEDHA NA MUDA NA MARANYINGINE KUPOTEZA MAPENZI YAKO (KUPITWA NA MPIRA, MASOMO, TAMTHILIA, TAARIFA YA HABARI, KULALA KATIKA HOFU NA MARANYINGINE KULAZIMIKA KULALA MAPEMA AU KUKUBALI KUKARIBISHA UMBU KWA KUNKATWA KWA WALE WENYE KUTEGEMEA ULINZI WA FENI(FAN)………N.K).


BAADA YA K ZAIN KUTAMBUA HILO TATIZO JUU YA WANACHAMA WAKE, NDIO IKAMUA KUWALINDA KATIKA MAZINGIRA YA USAFIRISHAJI WA MWANGA(UMEME) KUPITIA NJIA YA SIMU AU JENGO LA MAWASILIANO.
KWASASA MTEJA AU MWANACHAMA WA ZAIN, ANAWEZA KUWASILIANA KUISHI, KUTAFUTA, KUPIKA, KUFUA, KUANGALIA TAMTHILIA AU PICHA…………………….N.K, KUPITIA NJIA YA UNUNUZI WA LUKU.
ZAIN KWA KUJALI WATEJA WAKE, IMEAMUA KUFIKISHA HUDUMA YA SIMU YA MKONO, LAINI (LINE), MAWASILIANO(VOUCHER), LUKU………N.K. KWA WANACHAMA WAKE, ILI WAWEZE KUISHI KATIKA ULIMWENGU WA MARDHAWA.

FURAHIA MAWASILIANO AU MAISHA AU MAISHANI MWAKO AU DUNIA KUPITIA MTANDAO WA ZAIN.
MAMBO VIPI ZAIN ? NAKUPENDA ZAP.
KARIBU TANZANIA KARIBU TUWASILIANE KUPITIA NJIA YA ZAIN.

No comments:

Post a Comment