KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, September 12, 2009

MTAZAMO WA QURAN NA BIBLIA JUU YA KUJISTIRI KWA MWANAMKE NA MATAMANIO YA WANAUME KWA WANAWAKE. NA STARA KATIKA IBAADA.



KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWENYE KUNEEMESHA NEEMA KUBWA KUBWA NA MWENYE KUNEEMESHA NEEMA NDOGO NDOGO.

BIBLE :

YESU “ MMESIKIA KWAMBA IMENENWA , USIZINI. LAKINI MIMI NAWAAMBIA KILA MTU ATAZAMAYE MWANAMKE KWA KUMTAMANI, AMEKWISHA KUZINI NAYE MOYONI MWAKE. JICHO LAKO LA KUUME LIKIKUKOSESHA , LING’OE ULITUPE MBALI KWA MAANA YA KUFAA KIUNGO CHAKO KIMOJA KIPOTEE WALA MWILI WAKO MZIMA USITUPWE KATIKA JEHANUM
( MOTO MKALI )”.
( MATHAYO MTAKATIFU 5 - 27..28 )

NDUGU WA DAU WA MAISHANI! KWASASA TUNAANGALIA KUHUSU JAMBO AMBALO LIMETOKEA JUZI KUHUSU MASWALA YA SHERIA YA MAVAZI KATIKA NCHI YA SUDANI. UKITAKA KUJUWA WATU AMBAO NI WACHA MUNGU, UTAWAJUWA KWA MATENDO YAO.


BAADA YA KUSIKIA SHERIA ILE YA SUDANI YA KUPIGA MARUFUKU KUVAA SURUWALI, NAFIKI KUNA BAADHI YA WATU AMBAO WALLIONA SEREKALI YA SUDANI HAIWATENDEI WANAWAKE HAKI. LANI KUJA JAMBO AMBALO LINATAKIWA KUELEWEKA KATIKA MFUMO WA KARNE HII YA UTANDAWAZI. KWASASA KUNA KUNDI LA WATU AMBALO LINAPIGA VITA SHERIA YA MUNGU NA KUHAKIKISHA KWAMBA KILA SHERIA INAYO HUSIANA NA KUMTII MWENYEZI MUNGU LAZIMA WAIANGAMIZE.
UKIANGALIA MAANDIKO YA FUATAYO NDIO NJIA YA KUWEZA KUKUONESHA KWAMBA NCHI ZA KIISLAMU ZINA HAKI YA KUDHIBITI MAVAZI YANAYOSABABISHA WANAUME AU WANAWAKE KUTAMANIANA. KWASABABU KUTAMANI NI NJIA YA PILI YA KUZINI, KWA MUJIBU WA MANENO YA YESU.


QUR’AN :

MUNGU “ BILA SHAKA WALE WANAOWASINGIZIA WANAWAKE WALIOTAKASIKA WASIOJUA ( MAOVU ), WAISLAMU ( BASI WENYE KUWASINGIZIA WATU HAWA ) WAMELANIWA KATIKA DUNIA NA AKHERA, NAO WATAPATA ADHABU KUBWA ”
( 24—23 )

BIBLE :

KILA MWANAMKE ASALIPO AU ANAPOHUTUBU BILA KUFUNIKA KICHWA YUAABISHA KICHWA CHAKE. KWA MAANA NI SAWA NA YULE ALIYE NYOLEWA. MAANA MWANAMKE ASIPOFUNIKWA NA AKATWE NYELE AU IKIWA NI AIBU MWANAMKE KUKATWA NYWELE ZAKE AU KUNYOLEWA NA AFUNIKWE. KWA MAANA KWELI HAIMPASI MWANAMUME KUFUNIKA KICHWA , KWA SABABU YEYE NI MFANO NA UTUKUFU WA MUNGU. LAKINI MWANAMKE NI UTUKUFU WA MWANAMUME. MAANA MWANAMUME HAKUTOKA KATIKA MWANAMKE,BALI MWANAMKE KATIKA MWANAMUME. KWA HIYO IMEMPASA MWANAMKE AWE NA DALILI YA KUMILIKIWA KICHWANI, KWA AJILI YA MALAIKA.
JE ! INAPENDEZA MWANAMKE AMWOMBE MUNGU ASIPOFUNIKWA KICHWA ?
JE ! HAYO MAUMBILE YENYEWE HAYAWAFUNDISHI YA KWAMBA MWANAMUME AKIWA NA NYWELE NDEFU NI AIBU KWAKE. LAKINI MWANA MKE AKIWA NA NYWELE NDEFU NI FAHARI KWAKE.
( 1 WAKORITHO 11 - 4…….15 )


QUR’AN:

MUNGU “ HAKIKA MWENYEZI MUNGU ATAWAINGIZA WALE WALIOAMINI NA KUFANYA VITENDO VIZURI ( KATIKA ) MABUSTANI YAPITAYO MITO MBELE YAKE. HUMO WATAVISHWA MAPAMBO YA MIKONONI YA DHAHABU NA LULU, NA MAVAZI YAO HUMO YATAKUWA HARIRI”
(22:23)
QUR’AN :


NA WATAONGOZWA (KWENDA MAHALA) KWENYE MANENO MAZURI NA KUONGOZWA KATIKA NJIA YA ( PEPO ) YA MWENYEZI MUNGU.

MUNGU “ WAMBIE WAISLAMU WANAUME WAINAMISHE MACHO YAO, ( WASITAZAME YALIOKATAZWA ) NA WAZILINDE TUPU ZAO,HILI NI TAKASO KWAO. BILASHAKA MWENYEZI MUNGU ANAZO HABARI ZA ( YOTE ) WANAYOYAFANYA.
( 24 : 30 )


QUR’AN :


NA WAMBIE WAISLAMU WANAWAKE WAINAMISHE MACHO YAO, NA WAZILINDE TUPU ZAO,WALA WASIZIHIRISHE VIUNGO VYAO ISIPOKUA VINAVYODHIHIRIKA ( NAO NI USO NA VITANGA VYA MIKONO ) NA WAANGUSHE SHUNGI ZAO MPAKA VIFUANI MWAO, NA WASIONYESHE MAPAMBO YAO ILA KWA WAUME ZAO, AU WATOTO WAO AU WATOTO WA WAUME ZAO AU WANA WA KAKA ZAO AU WANA WA DADA ZAO AU WANAWAKE WENZIWAO, AU WALE ILIYOWAMILIKI MIKONO YAO YA KUUME ( WATUMWA WAO ) AU WATOTO AMBAO HAWAJAJUA MAMBO YANAO HUSU UKE.
WALA WASIPIGE MIGUU YAO ILI YAJULIKANE WANAYOYAFICHA KATIKA MAPAMBO YAO. NA TUBIENI NYOTE KWA MWENYEZI MUNGU, ENYI WAISLAMU ILIMPATE KUFAULU”.
( 24:34 ).

QUR’AN :

MUNGU “ NA KWA YAKINI TUMEKUTEREMSHIENI AYA ZINAZOELEZA WAZI WAZI ( KILA YANAYOHITAJIWA ) NA MIFANO ( YA KUKUFUNUWENI MACHO ) KATIKA MAMBO YA WALE WALIOPITA KABLA YENU, NA MAWAIDHA KWA WACHA MUNGU.”
( 24: 34 ).

BIBLE :

KWASABABU MAMBO YAKE YASIYO ONEKANA TANGU KUUMBWA ULIMWENGU YANAONEKANA NA KUFAHAMIKA KWA KAZI ZAKE, YAANI,UWEZA WAKE MILELE NA UUNGU WAKE,HATA WASIWE NA UDHURU, WALA KUMSHUKURU, BALI WALIPOTEA KATIKA UZUSHI WAO, NA MIOYO YAO YENYE UJINGA ,IKAWA GIZA. WAKIJINENA KUWA WENYE HEKIMA WALIPUMBAZIKA ; WAKAUBADILI UTUKUFU WA MUNGU ASIYE NA UHARIBIFU KWA MFANO WA SURA YA BINAADAMU ALIYE NA UHARIBIFU, NA NDEGE, NA YA WANYAMA, NA VITAMBAAVYO.

KWA AJILI YA HAYO MUNGU ALIWAACHA KATIKA TAMAA ZA MIOYO YAO,WAUFUATE UCHAFU, HATA WAKAVUNJIANA HESHIMA MIILI YAO. KWA MAANA WALIBADILI KWELI YA MUNGU KUA UWONGO, WAKAKISUJUDIA KIUMBE NA KUKIABUDU BADALA YA MUUMBA ANAE HIMIDIWA MILELE. AMINA.

HIVYO MUNGU ALIWAACHA WAFUATE TAMAA ZAO ZA AIBU.
HATA WANAWAKE WAKABADILI MATUMIZI YA ASILI KWA MATUMIZI YASIYO YA ASILI, WANAUME NAO VIVYO HIVYO WALIYAACHA MATUMIZI YA MKE WAKIYATENDA YASIYOPASA, WAKAPATA NAFSINI MWAO MALIPO YA UPOTEVU WAO YALIYO YA HAKI YAO.
NA KAMA WALIVYO KATAA KUA NA MUNGU KATIKA FAHAMU ZAO ZISIZOFAA, WAYAFANYE YASIYO WAPASA.
WAMEJAWA NA UDHALIMU WA KILA NAMNA,UOVU, NA TAMAA NA UBAYA, WAMEJAWA NA HUSUDA, NA UUAJI, NA FITINA , NA HADA ,WATU WANIA MBAYA, WENYE KUSENGENYA,WENYE KUSINGIZIA,WENYE KUMCHUKIA MUNGU , WENYE JEURI,WENYE KUTAKABARI ,WENYE MAJIVUNO,WENYE KUTUNGA MABAYA,WASIO WATII WA ZAZI WAO,WASIO NA UFAHAMU, WENYE KUVUNJA MAAGANO,WASIOPENDA JAMAA ZAO, WASIO NA REHEMA. NA AMBAO WAKIJUA SANA HUKUMU YA MUNGU YA HAKI YA MUNGU, YA KWAMBA WAYATENDAO HAYO WAMESTAHILI MAUTI, WANATENDA HAYO , WALA SI HIVYO HIVYO TU , BALI WANA KUBALIANA NAO WAYATENDAO.
( WARUMI 1:20……...32 )

NASI TWA JUA HUKUMU YA MUNGU NI KWELI JUU YAO WAFANYAO HAYO. WEWE BINAADAMU, UWAHUKUMUYE WAFANYAYO HAYO NA KUTENDA YAYO HAYO MWENYEWE, JE ! WADHANI KWAMBA UTAJIEPUSHA NA HUKUMU YA MUNGU ?
AU WADHANI WINGI WA WEMA WAKE NA USTAHAMILIVU WAKE NA UVUMILIVU WAKE USIJUE YA KUWA WEMA WA MUNGU.

MSIWE NA TABIA YA KUPENDA FEDHA MWE RADHI NA VITU MLIVYO NA VYO; KWA KUWA YEYE MWENYEWE ( MUNGU ) ,AMESEMA SITAPUNGUKIA KABISA , WALA SITAKUACHA KABISA. HATA TWATHUBUTU KUSEMA. BWANA NDIE ANISAIDIAYE, SITAOGOPA , MWANADAMU ATANITENDA NINI ?

WAKUMBUKENI WALE WALIOKUWA WAKIWAONGOZA, WALIOWAAMBIA NENO LA MUNGU ; TENA, KWA KUUCHUNGUZA SANA MWISHO WA MWENENDO WAO,IIGENI IMANI YAO.

BASI NATAKA WANAUME WASALISHE KILA MAHALA HUKU WAKIINUA MIKONO ILIOTAKATA, PASIPO HASIRA WALA MAJADILIANO. VIVYO HIVYO WANAWAKE NA WAJIPAMBE KWA MAVAZI YA KUJISITIRI, PAMOJA NA ADABU NZURI , NA MOYO WA KIASI , SI KWA KUSUKA NYWELE WALA KWA DHAHABU NA LULU , WALA KWA NGUO ZA THAMANI. BALI KWA MATENDO MEMA , KAMA IWAPASAVYO WANAWAKE WAOUKIRI UCHAJI WA MUNGU. MWANAMKE NA AJIFUNZE KATIKA UTULIVU , AKITII KWA KILA NAMNA . SIMPI MWANAMKE RUHUSA YA KUFUNDISHA ,WALA KUMTAWALA MWANA MUME BALI AWE KATIKA UTULIVU KWA MAANA ADAMU NDIE ALIYEUMBWA KWANZA
, NA HAWA BAADAE.


( TIMOTHEO 2 - 7……..14 )

No comments:

Post a Comment