KARIBU MAISHANI
KARIBU MAISHANI
Saturday, September 12, 2009
KWAJINA NAITWA NASRI
ASALAMU ALAYKUM NDUGU ZANGUNI. KWAJINA NAITWA NASRI. HALI YA NGU YA KIMAISHA INA DOSARI LA JICHO. JICHO LANGU LIMEFANYIWA OPARESHENI, KWASABABU YA KASORO FULANI. NAPOSEMA FULANI NA MAANISHA UGONJWA ULIOKUWA UKINISIBU. KWA MUJIBU WA DAKITARI, ANADAI KWAMBA , BILA KUFANYIWA UPASUAJI, JICHO LANGU LINGEOZA AU KUNKOREWA KABISA. KAMA UNAVYONIANGALIA, MIMI BADO NI KIJANA MDOGO SANA. MAMA YANGU ANAHANGAIKA KILA KUKICHA ILI AWEZE KUOKOA JICHO LANGU. KUNA KIPINDI AMBACHO NNAONA MAMA ANAKARIBIA KUKATA TAMAA JUU YA KUPONA KWA JICHO LANGU, LAKINI ANAPONIANGALIA USONI, HUJAWA NA HURUMA NA KUANZA TENA KUONGEZA BIDII KATIKA HARAKATI YA KUNITAFUTIA MATIBABBU. KWASASA NAONA KIDOGO MAMA ANAFURAHA AU ANAFURAHIA KUANGALIA NDEGE YA ORBIS IKIONDOKA NA KUTABASAMU KWA MSISIMUKO WA RAHA. KWANINI MAMA AMEFURAHIA NDEGE YA ORBIS ? KWASABABU NDEGE YA ORBIS, NI YAWATU WENYE KUJALI MASIKINI WAMEJITOLEA, KUWASAIDI WATU MASIKINI KAMA MIMI NA MAMA, TUMESAIDIWA NA WAMILIKI WA NDEGE HII, NA TUNAOMBA MUNGU AWAZIDISHIE KILA JAMBO LA GHELI MAISHANI MWAO. INSHALLAH.
UJUMBE TUNAWATAKIA RAMADHANI NJEMA WAISLAMU WOTE DUNIANI. NA TUNASHUKURU WACHAMUNGU WA KENYA AMBAO WAMEWEZA KUFIKISHA NDEGE HII YA ORBIS NDANI YA NCHI YETU KWA LENGO LAKUSAIDIA WANYONGE KAMA MIMI. MUNGU AWABARIKI TENA SANA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment