KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Sunday, September 6, 2009

Mapenzi yanaweza kuhesabika?


Mapenzi ni kifaa chenye muungano wa matendo na maneno. upungufu wa kimoja ni udhaifu wa pendo husika. huwezi kumwambia mtu au mpenzi wako neno na kupenda pekee, bali unahitaji kumuonesha na vitendo vya kuidhinisha upendo husika. lazima upendo uendane na kinga. kinga ya mapenzi ni uvumilivu na ukweli. kumbuka kwamba ukweli msingi wake ni uadilifu baina yenu maishani.

NDOA NYINGI ZINAVUNJWA NA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA UAMINIFU. KUMBUKA KWAMBA MOYO ULIOTULIA , NDIO WENYE KUJENGA MAPENZI YA UKWELI.

No comments:

Post a Comment