KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Friday, September 25, 2009

KWA KWELI HUWA NAJISIKIA NNA RAHA YENYE MSINGI WA FURAHA


ASALAMU ALYAKUM MAISHANI CLUB?
KULIA NI MIMI M. NA KUSHOTO NI LILIAN NY.
WATU HAWA NI MARAFIKI, WA MDA MREFU MAISHANI. KWA UPANDE WA MIMI ANAAMINI KWAMBA KILA NJIA INARAFIKI NA KILA HATUWA INA MAFANIKIO. MIMI HUJISIKIA KUWA NA FURAHA PALE AMBAPO YUPO NA RAFIKI YAKE LILIAN, KATIKA WAKATI MUAFAKA WA MAZOWEZI.
KWA UPANDE WA LILIANI YEYE, HANA TOFAUTI SANA NA MAWAZO YA RAFIKI YAKE KIPENZI, AMBAE NI MIMI M.
LILIANI ANAKIRI HIVI « KWA KWELI HUWA NAJISIKIA NNA RAHA YENYE MSINGI WA FURAHA MAISHANI MWANGU, HASA TUNAPOKUTANA (LILIANI NA MIMI) SEHEMU YETU YA MAZOWEZI, NAJISIKIA FURAHA, NA NAAMINI KWAMBA HATA MIMI NAYE HUWA NI MWENYE KUFARAJIKA TUNAPOKUWA WOTE MAZOWEZINI »
HUO NDIO UMUHIMU WA MATENDO YA MAISHANI. KILA JAMBO MAISHANI LINAHITAJI MUUNGANO ILI LIWEZE KUJENGA MATUMAINI NA NGUVU YA ASILI MAISHANI MWETU.

TUNAWATAKIA RAMADAN NJEMA NA SIKUU YA EID. UJUMBE MAZOWEZI NI MFUMO WA MAISHA, MAISHANI MWETU.
KUMBUKA KWAMBA « MWENYE KUWARIDHISHA WAZEE
(BABA NA MAMA) WAKE WA WILI, AMEMRIDHISHA MWENYEZI MUNGU, NA MWENYE KUWAGHADHIBISHA WAZEE
(BABA NA MAMA) WAKE WA WILI AMEGHADHIBISHA MWENYEZI MUNGU. »
MTOWAJI (S.A.W).
MPOKEAJI : IBNUN – NAJJAR)

No comments:

Post a Comment