KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Friday, July 10, 2009

VIONGOZI WANAOTAMBULIKA DUNIANI KAMA WATAWALA WA NCHI ZENYE NGUVU KATIKA JAMII.




VIONGOZI WANAOTAMBULIKA DUNIANI KAMA WATAWALA WA NCHI ZENYE NGUVU KATIKA JAMII.

RAISI WA MAREKANI KUSHOTO, ANAJULIKANA KAMA KIONGOZI WA NCHI YENYE NGUVU ZA KIJESHI NA UKUBWA WA UCHUMI DUNIANI.

WA PILI KULIA NI MFALME WA SAUDIA. MFALME WA SAUDIA NI KIONGOZI WA NCHI YA KWANZA YENYE WINGI WA MAFUTA DUNIANI. SAUDIA NI NCHI AMBAYO INA SEHEMU ( KAABA ) AMBAYO NI KATIKATI YA DUNIA.

SAUDIA INA UHUHIMU MKUBWA KWA WAISLAMU NA NI CHIMBUKO LA UISLAMU
( NABII MUHAMMAD ( S.A.W ) ALIZALIWA MAKA , ILIKO KAABA ). SAUDIA INAHISTORIA KUBWA YA MAPINDUZI, KUANZIA MAKKA,MADINA,SIRIA,JORDAN,PALESTINA,YEMENI,LEBANONI,……..HADI KUKALIA NCHI ZA ULAYA. YOTE HAYO HALIFANYIKA NA WANAHARAKATI WA KIISLAMU,AMBAO WALIKUA WAKIPINGA DHULMA ILIOKUWA IKIFANYWA NA WATU WABAYA WENYE SIFA YA DHULMA NA KUWANYANYASA WANAWAKE . SAUDIA NI KITUO KIKUBWA CHA HIJJA KWA WAISLAMU, WAISLAMU HUENDA HIJJA KILA MWAKA MARA MOJA KWA WENYE UWEZO, HIJJANA NI IBAADA MUHIMU KWA WAISLAMU WENYE UWEZO WA KIFEDHA.WAISLAMU HUTOKA DUNIANI KOTE NA KWENDA SAUDIA KUFANYA IBAADA YA HIJJA, IBAADA HII INAASHIRIA UMUHIMU WA NABII IBRAHIMU ( BABA WA IMANI ) KUTAKA KUMCHINJA MWANAE WA KWANZA ISMAIL

1 comment: