KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Sunday, June 28, 2009

KIFO CHA SHEIH GOROGOSI NI PENGO KWA WENGI LAKINI LAZIMA KILA NAFSI ITAKUFA




MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YAKO PAHALI PAZURI PEPONI.

UMEJITOLEA KUONGOZA JAMII YA KIISLAMU NA KIFO CHAKO KIMEKUKUTA KATIKA HARAKATI ZA KUJITOLEA.WENGI TUMEPATA HABARI YA KIFO CHAKO NA NYOYO ZETU ZIMEJAWA NA HUZUNI. TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI AMBAYO UMETUTENDEA KATIKA HARUSI,USHAURI,SHEREHE MBALIMBALI,UJASIRI WA USHAURI,KUTUPA MATUMAINI,KUTUONGOZA KATIKA IMANI,USHIRIKIANO WA KIFAMILIA,KUITIKIA WITO ILIKUANJIA YAKO.....TUNA MENGI SANA YA KUELEZA KUHUSU SIFA ZAKO.KUHUSU KASORO MWENYEZI MUNGU NA WALE WALIOMO KATIKA KUNDI LA KASORO NDIO WENYE KUZIJUA.

UMETUFUNDISHA SANA KUHUSU MAISHA YA AGHERA NA MAISHA YA DUNIANI.
UMETUONYA SANA KUHUSU MAISHA YA DUNIANI NA UMETUELEZA SANA KUHUSU MAANDALIZI YA AKHER SASA WALIO HAI TUNASHUHUDIA YALE MAFUNDISHO YAKO KWA MIFANO. KWELI KIFO CHAKO KINA MENGI YA KUJIFUNZA NA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AKUPE MAPUMZIKO SALAMA. NA KAMWE HATUTASAHAU KUKUOMBEA DUA.

No comments:

Post a Comment