KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Tuesday, May 15, 2012

Tume ya Marekebisho ya Katiba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif, akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania, Mathias Chikawe, baada ya kutembelea ofisi za Tume ya Marekebisho ya Katiba jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Joseph Warioba. (Picha, Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment