KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Saturday, January 29, 2011

Umeme tatizo –Dar


MGAO wa umeme umerudi tena kwa kasi mpya na hali hiyo kuwafanya wakazi wa jiji kushidwa kuendesha shughuli zao ipasavyo.
Mgao huo uliotangazwa mwanzoni mwa wiki hii ni mkali kuliko ule ulioisha awali na kutangaza kuwa utakuwa unakatika kwa siku tatu hadi kwa wiki.

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania [Tanesco] Felchesmi Mramba alsiema mgao huo unatokana na kupungua kwa Megawat 230 za grade ya Taifa.

Pia na kushuka kwa kina cha maji katika bwawa la Mtera, mgawo huo utaendelea hadi mvua sitakapoanza kunyesha

No comments:

Post a Comment