KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Wednesday, January 12, 2011

Tani 31 za shaba zakamatwa


JESHI la polisi mkoni Morogoro linawashikilia watu watatu kwa kukutwa na tani 31 za madini aina ya shaba wakiwa wamehifadhi nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa hao.
Tani hizo zinadaiwa kuwa na thamani ya shilingi million 368 zilikamatwa jana eneo la forest mkoani Morogoro nyumbani kwa Bw. Frank Hugo.

Imedaiwa kuwa madini hayo yamekuwa yakielekea nchini Zambia.

No comments:

Post a Comment