KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Saturday, January 29, 2011

Pinda atambika jina la wezi


WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewaagiza wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wa CCM kuwaita viongozi wanaotumia dhamana kujinufaisha kuwapigia kelele za wizi.
Alisema hayo mjini Iringa wakati wa maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka 34 ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

“Wanaoingia ndani ya chama kwa lengo la kujinufaisha ni lazima wawajibishwe kwa kuwa weanatumia dhdamdanea zao vibaya, wapigieni makelele na kuwaita wezi wezi” aliagiza Pinda

No comments:

Post a Comment