
Jean Claude "Baby Doc" Duvalier
Katika taarifa yake kamili tangu arejee siku ya Jumapili, pia alionyesha masikitiko yake na huzuni kwa wale ambao wanajiona waliathirika enzi za utawala wake.
Matamsnhi yake yanajitokeza wakati kukiwa na msukosuko wa kisiasa nchini humo, ambao ulisababisha kufutiliwa mbali kwa awamu ya pili ya uchaguzi wa Rais.
Siku ya Ijumaa, Marekani iliwanyang'anya hati za kuingilia nchini mwake maafisa kadhaa wa Haiti, ikiwa ni sehemu ya kuichagiza serikali kumtupa nje ya kinyag'anyiro mgombea inayempendelea katika uchaguzi huo wa marudio
No comments:
Post a Comment