KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Thursday, December 30, 2010

Walimu kicheko


KUTOKANA na uhaba wa walimu nchini kuanzia sasa walimu wataanza kuajiriwa moja kwa moja mashuleni bila ya kuwa na usaili.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Bw. Philemon Luhanjo.

Alisema hayo yameamuliwa kutokana na kuwa na uhaba wa walimu mashuleni nchini kote.

“Walimu wataajiriwa moja kwa moja kama madaktari wanapomaliza masomo yao inimradi awe amefaulu vizuri mitihani yake

No comments:

Post a Comment