KARIBU MAISHANI

KARIBU MAISHANI

Amazon MP3 Clips

Thursday, December 30, 2010

Mafanikio ya CUF 2010 haya hapaCHAMA cha Wananchi (CUF) jana kiliweka bayana mafanikio waliyoyapata kwa mwaka ulioisha wa 2010 ndani ya Tanzania.
Mafanikio hayo yaliorodheshwa na Kaimu Katibu Mkuu, wa chamda hicho, Bw. Julius Mtatiro wakiati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari.

Mtatiro akianza kuorodhehsa mafanikio hayo alianza wka kusema, wameweza kujipatia wabunge wengi kwa uipande wa vyama vya upinzani katika uchaguzi ulioisha pamoja na kuwa chama cha kwanza cha upinzani Tanzania kuingia serikalini upande wa Zanzibar na kuunda serikali ya Umoja wa Mataifa kutokana na kupata kura nyingi za maoni kwa wananchi wa Zanzibar.


Kuongezeka kwa idadi ya madiwani kutoka 96 mwaka 2005 hadi kufikia 152 mwaka 2010 kwa upande wa Tanzania bara, na kuongeza idadi ya wabunge wawakilishi kwa upande wa muungano

No comments:

Post a Comment